Download Muziki Zamani 1.1.8 APK for Android


Muziki Zamani 1.1.8
File name: Muziki-Zamani.APK
ID: com.ewebtz.mzikizamani
Version: 1.1.8
File Size: 2.4Mb



Muziki Zamani Screenshots

Free Download Muziki Zamani APK for Android
Download Muziki Zamani APK
Lastest Muziki Zamani APK

Muziki Zamani Description

Je wewe ni mpenzi wa muziki wa zamani maarufu kama Zilipendwa? Kama ndio basi unahitaji kuwa na App hii kwenye simu yako. Muziki Zamani itakuwezesha kusikiliza nyimbo zilizotamba miaka ya nyuma popote ulipo. Kila wiki tunaweka orodha mpya ya nyimbo kwa ajili yako. Sasa program hii imeboreshwa kukuwezesha kusikiliza muziki OFF-LINE baada ya kudownload. Unachotakiwa kufanya ni kubonyeza button nyekundu au blue kusikiliza mziki OFFLINE au ONLINE. Like Ukurasa wetu wa Facebook unaoitwa Muziki Zamani (https://www.facebook.com/hapozamani) ili upate taarifa Zaidi kuhusu Programu hii.

NB: App hii inatumia internet kukuwezesha kusikiliza muziki, lazima simu yako iwe imeunganishwa kwenye mtandao ili uweze kutumia huduma hii.

What's new in Muziki Zamani 1.1.8

v1.1.8
- Imeboreshwa zaidi
- Sasa unaweza kusikiliza muziki OFFLINE baada ya kudownload
Muziki Zamani | 8 Reviewers | | Rating: 4.8

Download Muziki Zamani 1.1.8 APK